Shule
ni kitu cha msingi sana kwa mtu yoyote hasa yule ambaye ni kioo cha
jamii au kiongozi. Sasa muigizaji Lulu amechukua hatua zake kwenye hii
ishu ya elimu pamoja na kusema maneno,”Gettin more knowledge…..!!!we
have to learn….especially sisi celebrities
wa bongo….wengi wetu tunaongeaga pumba sana in public…yan hatujui nini
tuongee wapi!!!!juc an advice lakni…..!!!!AM GOOD TO GO….”
KWANINI MICHANGO YA CHADEMA INEKWAMA?
-
KUNA wakati kama binafamu wenye akili timamu lazima tutafakari mambo
yanayoendelea nchini na kwa siku ya leo tujadili kidogo kuhusu michango ya
Chama cha D...
3 hours ago











