Mama mzazi wa marehemu Albert Mangweha akiwa ameshikilia tuzo aliyopewa
kwa niaba ya mwanae, tuzo hii aliipata msanii Kala Jeremiah kwenye tuzo
za Kilimanjaro ikiwa kama tuzo ya msanii bora ya Hip Hop 2013-14
NFRA SONGEA YANUNUA TANI ZAIDI YA 72,000 ZA MAHINDI MKOANI RUVUMA
-
Na Mwandishi Wetu,Ruvuma
WAKALA wa Taifa wa hifadhi ya chakula(NFRA)Kanda ya Songea mkoani
Ruvuma,imenunua tani zaidi ya 72,000 za mahindi kutoka kwa ...
4 hours ago
0 comments:
Post a Comment