JCB akiwa na mkewe Diana wakati wa kusaini vitabu vya ndoa. |
JCB akizungumza na Asili Yetu Tanzania blog pamoja na Wazalendo 25 blog jana majira ya jioni, msanii huyu alikili kufunga ndoa na kipenzi chake ambae tayari walikuwa wemejaaliwa kupata mtoto mmoja wa kiume anayekwenda kwa jina la Albert.
Diana mke wa JCB akichora sahihi katika kitabu cha ndoa.
JCB nae akianguka sahihi katika kitabu cha kuandikisha ndoa.
JCB akiwa na mke wake DIANA |
Ndugu Jamaa na marafiki waliohudhuria tukio
0 comments:
Post a Comment