Mtangazaji
Mkongwe kwenye Tasnia ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano nchini
Tanzania Maduhu Jumanne ( Mwenye Miwani) ambaye anafanya kazi kwenye
kituo cha Radio cha Morningstar Radio na Televisheni ya Morningstar Tv
inayomilikiwa na Kanisa la Waadventista Wasabato nchini Tanzania akiwa
kwenye picha ya pamoja na Mtayarishaji wa Muziki wa Studio ya Kwanza
Records ajulikanaye kwa jina la Vent Skillz
Mtayarishaji
wa Muziki (Producer) wa Kwanza Records Vent Skillz akiwa kazini. Studio
ya Kwanza Records inapatikana Morogoro Mjini ni studio maarufu na yenye
mchango mkubwa katika kukuza, kuendeleza na kuibua vipaji na muziki wa
Kitanzania