Shule
ni kitu cha msingi sana kwa mtu yoyote hasa yule ambaye ni kioo cha
jamii au kiongozi. Sasa muigizaji Lulu amechukua hatua zake kwenye hii
ishu ya elimu pamoja na kusema maneno,”Gettin more knowledge…..!!!we
have to learn….especially sisi celebrities
wa bongo….wengi wetu tunaongeaga pumba sana in public…yan hatujui nini
tuongee wapi!!!!juc an advice lakni…..!!!!AM GOOD TO GO….”
NFRA SONGEA YANUNUA TANI ZAIDI YA 72,000 ZA MAHINDI MKOANI RUVUMA
-
Meneja wa wakala wa Taifa wa Hifadhi ya chakula(NFRA)Kanda ya Songea mkoani
Ruvuma Zenobius Kahere,akizungumza na baadhi ya wakulima wa mahindi katika
ki...
47 minutes ago
0 comments:
Post a Comment