Kutana na mwanamuziki mahili wa miondoko ya Hip Hop,mwenye uwezo mkubwa na mwaunye mashairi ya kibaba,ambaye amewahi kuwa super nyota wa Fiesta mwaka jana.Joh Maker ndio jina lake la biashara,ambaye anatarajia kuachia bonge ya ngoma hivi karibuni,usiache kutembelea blog hii ili upate habari nyingi zaidi kumuhusu yeye.
Kihenzile akagua ujenzi wa MV Liemba na uwanja wa Ndege Kigoma
-
Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, amesema maendeleo ya mradi wa
ukarabati wa Meli ya MV Liemba mkoani Kigoma yanaridhisha na utekelezaji
wake um...
47 minutes ago



0 comments:
Post a Comment