Mama mzazi wa marehemu Albert Mangweha akiwa ameshikilia tuzo aliyopewa
kwa niaba ya mwanae, tuzo hii aliipata msanii Kala Jeremiah kwenye tuzo
za Kilimanjaro ikiwa kama tuzo ya msanii bora ya Hip Hop 2013-14
Matukio : Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi , Awasilisha Salamu za pole za Rais
Dkt. Samia Suluhu Hassan kufuatia kifo cha Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo
-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel
Nchimbi amefika katika makazi ya Kiaskofu ya Jimbo Kuu Katoliki Dar es
Salaam...
2 minutes ago







0 comments:
Post a Comment